Michezo

Yanga watangaza kuachana na Juma Kaseja

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake Juma Kaseja kwa madai kuwa mchezaji huyo hajaonekana klabuni kwa majuma matatu.

10891605_650570411735914_1356627083498939739_n

Akizungumza mjini Zanzibar leo Mkurugenzi wa Habari wa Yanga, Jerry Muro amesema Kaseja amevunja mkataba kutokana na kutokwenda mazoezini kwa saa 48.

IMG_0265
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Unguja

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents