Burudani

Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?

Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi.

Nay true boy

Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi.

Kupitia Facebook Nay ameandika:

“Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu. au yawezakua kick ikuboost kwa wasiokujua kama ulikua unafanya music.‪#‎kilimoUti‬ ‪#‎waMgongo‬ #‎teamAkadumba‬”

nay

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents