Burudani

50 Cent akumbushia jinsi Beyonce alivyotaka kumshambulia kumlinda mumewe Jay Z

50 Cent amedai kuwa almanusura Beyoncé Knowles amshambulie kwa ngumi na mateke baada ya rapper huy kuingia kwenye majibizano na mumewe, Jay Z.

winners-14767070-sq

50 alikuwa akiongea na kipindi cha ‘The Breakfast Club’ cha kituo cha redio cha jijini New York, Power 105.1 na alisema yote hayo yalitokea jijini Las Vegas. ”One time [Beyoncé] jumped off of a ledge and came running over cause she thought me and Jay had issues. And I’m like, ‘What the f**k? Did she really just jump and run up on me like that?’ And I’m like, ‘What the f**k? Did she really just jump and run up on me like that?,” alisema.

Alisema Beyonce alidhani majibizano ya 50 na Jay Z yangewafanya wapigane japo haikuwa hivyo.

“She jumped out and I was like this, ‘What?! That Bonnie and Clyde for real! You try this or what, boy?! I’m here!’ She bugged out at me. I looked and Jay starts laughing. He’s like, ‘Yo, you know what it is.’ ”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents