Burudani

50 Cent aongezewa shavu na Starz, ni baada ya tamthilia ya Power kuwa na mafanikio makubwa

Rapper Curtis “50 Cent” Jackson amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na kituo cha runinga cha Starz baada ya tamthilia ya Power anayoitayarisha kupata mafanikio makubwa.

50-cent-promo

Kupitia mkataba huo, 50 atatengeneza miradi mipya kupitia kampuni yake G Unit Film & Television, Inc. na kuendelea kuwa mtayarishaji mkuu wa tamthilia ya “Power.”

power_starz_wallpaper_1920x1200_03

Msimu wa tatu wa Power ulianza kutengenezwa mapema mwezi huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents