Filamu 10 za Tanzania zilizofanya vizuri sokoni mwaka 2014
Bongo5 ikishirikiana wauzaji na wasambazaji wa filamu, wapenzi wa filamu hizo na wadau wengine kwenye kiwanda hicho nchini inakuletea orodha ya filamu 10 zilizofanya vizuri sokoni mwaka 2014. Bongo5 iliweza kushirikiana na wauzaji wa mitaani ‘Library’, wauzaji wa jumla wa maduka ya Kariakoo, pamoja na wasambazi wakuu wa filamu hapa nchini ambao ni Steps Entertainment, Splash, Pili Pili na wasambazaji wengine wadogo wadogo kupata orodha hii.
Wakizungumza na Bongo5 wakati wa kukusanya research hiyo, wadau mbalimbali walisema kwa sasa watu hawaangalii tena ukumbwa wa jina kwenye filamu bali wanaangalia story na jinsi wahusika walivyovaa uhusika. Hizi ni filamu 10 zilizofanya vizuri mwaka huu.
1.Chausiku
Cast : Shamsa Ford, Mayassa Mrisho, Rammy Galis, Cathy Rupia
2.Siri Ya Giningi
Cast: Sabby Angel, Salim Ahmed “Gabo” na Mzee Korongo
3.Hukumu ya Ndoa Yangu
Casts: Fatma Makongoro, Jacob Stephen, Shamsa Ford
4.Kigodoro
Casts: Mama Abdul, Abdalah Mkumbila, Diana Kimaryo, Hemed Suleiman, Kajala Masanja, Riyama Ally
5.Zena na Betina
Cast: Salma Jabu aka Nisha
6.Tom Boy
Casts: Seif Mbembe, Abdallah Mkumbila, Jaqueline Wolper, Nice Mohamed
7.Nendeza Mwali wa Kizaramo
Mohamed Salum, Latifa Shabani, Halima Hashim, Hashim Rajab Dituth
8.Aliyemchokoza Kaja
Cast: Adam Kuambiana, Mohamed Nurdin, Irene Uwoya
9.Nahama
Casts: Bi Hindu, King Majuto, Masayo
10.Sanduku la Babu
Cast: Mjomba Nishak (JOTI), Mzee Mpauko (JOTI), Aunt Tausi (JOTI)