Michezo
Chalz Baba atoa ushauri kwa waandaji wa Kili Tanzania Music Awards [Videos]
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=nQiemsPtL-A[/youtube]
Chalz Baba akitoa maoni na ushauri kwa waandaji wa Kili Tanzania Music Awards, ushauri wake ni kwamba waanadaji wajitahidi kushirikiana na serikali ‘kushibisha’ zaidi tuzo hizo.
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=NVL4RLwq_4M[/youtube] Pia alisisitiza wasanii waliyotuacha wasisahaulike, na kuwe na mfumo wa kuwakumbuka katika tuzo.
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=NVL4RLwq_4M[/youtube] Pia alisisitiza wasanii waliyotuacha wasisahaulike, na kuwe na mfumo wa kuwakumbuka katika tuzo.