![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/hollyweezy.jpg)
Video mpya ya wimbo wa “HollyWeezy” Kutoka kwa Lil Wayne hii inatoka kwenye mixtape ya Sorry 4 the Wait 2. Katika hii video wameonekana manager wa Young Money Mack Maine na manager wa Lil Wayne Cortez Bryant.