Chrissy Teigen ametokea kwa mara ya saba kwenye jarida la Sports Illustrated Swimsuit Issue.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anatarajia kujifungua mtoto wa kike na mume wake John Legend, ameshare picha mbili kutoka kwa toleo hilo la kila mwaka Jumatatu hii.
Katika picha hiyo iliyopigwa visiwani Zanzibar, mrembo huyo mwenye miaka 30 amepozi mtu akiwa kwenye maji huku kwenye sehemu za siri amefunikwa na vidani vya almasi vilivyoandikwa ‘Zanzibar.’
“So excited to announce my 7th appearance in the Sports Illustrated Swimsuit Edition – I had to count that a million times before I believed it! My @si_swimsuit family, I love you! There is nothing like being a part of this brand and this issue. My shoot was in beautiful Zanzibar and shot by the incomparable @ruvenafanador, who is just as wonderful, kind, serene and lovely as everyone has ever told me. He thinks about every little aspect of a photo, every detail. HMU by @peterbutlerhair and @joannegair I LOVE you and am so lucky you allow me to be in your chairs! @mj_day and @darciebaum and @ja_neyney @hillarydrezner and @karencarpk – you are my family,” ameandika Chrissy.
“I am proud to be in the issue but SO proud of all the work you guys put into this every single year. I just love you all. Jesus this is dramatic I know! And to all my fellow @si_swimsuit girls, congrats on a beautiful issue!!! I will see you this week in MIAMI!!!! I can’t wait to kiss all your beautiful faces!”
Tazama picha zaidi: