Videos
Video: Patoranking f/ Wizkid – This Kind Love
Patoranking kutoka Nigeria ameachia video ya wimbo wake ‘This Kind Love’ aliomshirikisha WizKid. Video ya wimbo huo ambao unapatikana katika albamu yake ‘God Over Everything’ umeongozwa na Clarence Peters.