Videos
New Video: Golden – Hohehahe
Msanii chipukizi wa Bongo Flava, Golden ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Hohehale’, iliyotayarishwa na Truename, video ikiongozwa na Manrizo. Hii ni ngoma yake ya pili katika maisha ya kimuziki baada ya kuachia wimbo wake mwaka 2016 uitwao’Baby’
Na Laila Sued