Burudani

Video: Haikuwa rahisi kumpata mdogo wake Drake kwenye video ‘Chovya’ – Dayna

Msanii wa muziki, Dayna Nyange amedai haikuwa kazi rahisi kwake kumpata kijana anayedaiwa kuwa ni mdogo wake Drake na kumtumia kwenye video yake kama model. Muimbaji huyo amedai alimpata kijana huyo nchini Africa Kusini wakati yupo mapumzikoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents