Burudani
Picha rasmi za mtoto wa Millen Magese
Mwanamitindo wa kimataifa ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2001, Millen Happiness ametoa picha rasmi za mtoto wake Prince Kairo aliyezaliwa July 13, 2018. Kabla ya hapo kulikuwa hakuna picha zozote za mtoto huyo zaidi ya hapo jana kutoka taarifa kuwa kwa pamoja watatokea katika jarida la Genevieve kutoka nchini Nigeria.