Burudani
(Video): Mimi napenda mademu – Kaligraph Jones
Rapper kutoka nchini Kenya, Kaligraph Jones amekubali kuwa yeye anapenda sana mademu lakini haijalishi kama akiwa ni rapper mwenzake au siyo ilimradi akiwa sawa tu.