Habari
Waziri Mkuu aongoza Watanzania kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mbunge Maji Marefu (+video)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Naibu Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula na Nape Nnauye(Mbunge wa Jimbo la Mtama) na wengine wamesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mbunge wa Korogwe Vijijini, Prof. Majimarefu leo katika uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam.