Habari
TANZIA: Msanii Mwana Cotide aliyeimba wimbo wa Chadema afariki dunia, Profesor Jay athibitisha – Video
TANZIA: Msanii Mwana Cotide aliyeimba wimbo wa Chadema afariki dunia, Profesor Jay athibitisha - Video
Fulgence Mapunda almaarufu Mwana Cotide amefariki dunia saa 10:20 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya St Monica iliyopo Manzese Jijini Dar alikokuwa akipatiwa matibabu.
Enzi za uhai wake aliimba wimbo wa chama hicho wenye maneno “CHADEMA CHADEMA People’s Power”
https://www.instagram.com/p/B3Tl78Slu0Z/
By Ally Juma.