swahiba wa Sharomilionea ambye ndiye alikuwa mtu wa karibu sana, Bwana Kitale akiwa mwenye majonzi tele.
Huu ni mwendelezo wa picha za matukio yaliyojiri katika mazishi ya msanii, mchekeshaji na mwigizaji Marehemu Sharomilionea ambaye alizikwa mchana wa jana.
Mama mdogo wa Sharomilionea.
Gari lililobeba jeneza lenye mwili wa marehemu Sharomilionea.
Majirani wanaoishi na familia ya marehemu Sharomilionea.
Baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya nyumba inayopakana na ya kina Sharomilionea.
Mzee chilo akifuatilia mambo yanavyokwenda pamoja na wenzake.
Msanii wa Bongo Flava Keisha naye alikuwepo.
Hapa ndipo sehemu mwili wa Sharomilionea ulipoangukia baada ya kutoka nje ya gari.
Wasaanii wa filamu wakiangalia eneo ilipotokea ajali ilipoteza uhai wa Marehemu Sharomilionea.
Wasanii wa filamu wakipiga picha damu iliyoganda katika eneo ambalo mwili wa Sharomilionea ulipoangukia.
Huu ndio ushahidi wa eneo ambalo Marehemu sharomilionea alipokata roho.
Msanii wa filamu akiokota sehemu ya vpande vya mabaki ya gari alilopata nalo ajali Sharomilionea.
Vipnde vya mabaki ya gari bado vipo.
Jeneza la marehemu.
Kaburi la Marehemu Sharromillionare.
Waombolezaji wakiomba dua kabla ya mazishi.
Mwombolezaji akilia kwa uchungu.
swahiba wa Sharomilionea ambye ndiye alikuwa mtu wa karibu sana, Bwana Kitale akiwa mwenye majonzi tele.