Michezo
Pilato wa Mchezo wa Simba na Yanga awekwa wazi
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Wababe Simba na Yanga wanaenda kukutana siku ya Jumamosi April 20, 2024 waamuzi wa mtanange huo wameshajulikana.
1. Mwamuzi wa Kati – Ramadhani Kayoko.
2. Line 1 – Frank Komba
3. Line 2 – Janneth Balama
4. Kamisaa – Heri Sasi.
Imeandikwa na Mbanga B.