Burudani
TOT taarab na TOT bend waungana kwenye utambulisho
Wanamuziki wa bendi ya taarabu ya Tot Taarab, juzi walikuwa wakiwasindikiza wanamuziki wenzao wa Tot bendi katika Tamasha lilofanyika Mango Gadern katika uzinduzi wa nyimbo mpya na wasanii wapya wa bendi hiyo.