
Mshambuliaji Cesar Manzoki ambaye kwa kipindi kirefu amehusishwa kwenye usajili wa Simba SC hatimaye amedai kuwa hiyo ndiyo timu pekee kwa Afrika anayoweza kuitumikia.
“Kama kuna Klabu Barani Afrika nataka kucheza basi ni Simba Sports Club.” Cesar Manzoki
Je ni muda muafaka kwa Simba kumsajili Mshambuliaji huyo..?