Habari

Necta watangaza matokeo ya kidato cha nne

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022.

Matokeo hayo yametangazwa leo January 29,2023 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Athumani Amasi.

Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja la tatu na daraja la nne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents