Habari

Ahmed Albaity ashukuru jitihada za RC Makonda juu ya afya yake (Video)

Mtanzania Ahmed Albaity ambaye anasumbuliwa na tatizo la uti wa mgongo amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda baada ya kukabidhiwa tiketi na pesa kwaajili ya kwenda kupatiwa matibabu nchini China. RC Makonda pamoja na wadau wengine wamefanikisha kupata hela ya safari, pesa ya matibabu pamoja na pesa ya matumizi ambapo zaidi ya milioni 106 zitatumika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents