Promotion

Airtel FURSA yabadilisha maisha ya Mpishi wa Keki jijini Dar

Airtel inaendelea kugusa maisha ya vijana nchini Tanzania na kuwawezesha kufikia matarajio yao ya ujasiriamali.

Wiki hii Airtel FURSA imemfikia Diana Moshi, mwenye umri wa miaka 22 anayejihusisha na upikaji wa keki jijini Dar es Salaam.

Ingia: www.airtelfursa.com na wewe ukamate fursa na Airtel

Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents