Burudani

Alikiba: Sijawahi kuimba nyimbo yenye uongo kama hii, Namkubali Hamadai

Baada ya kushirikishwa na Hamadai kwenye ngoma ya #Niamini Alikiba ameweka wazi kuwa hajawahi kuimba nyimbo yenye uongo kama hiyo.

Kupitia Instagram yake Alikiba ameandika kuwa: “Sijawahi kuimba nyimbo yenye uongo mwingi kama hii aisee
Ila bila uongo pia mapenzi hayaendi vizuri
That’s why nilimuomba @hamadaitz_ tufanye hii kwasababu namkubali sana na Wimbo ni mzuri sana pia producer @aloneym1 katisha sana
#SupportedByKiba
#KingKiba

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents