Michezo
Alikiba: #TeamSamatta wana bahati sana kupata sare na #Teamkiba
Baada ya mtanange wa kukata na shoka kati ya @officialalikiba na @samagoal77 kufanyika mkoani Iringa siku ya jana na Matokeo kuwa sare ya kufungana goli 1-1 yaani #Teamkiba 1-1 #TeamSamatta
Hiki ndio alichoandika @officialalikiba “This time wametokea kwenye tundu la sindano @samakibafoundation
HONGERENI kwa kutupa challenge kidogo
#KingKiba”