Burudani
Jacqueline Mengi: Nawapenda sana Wamachame
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mjane wa Reginald Mengi Jacqueline Mengi @j_n_mengi ameandika kuwa: “Ila kiukweli nawapenda sana wamachame hasa hawa twins niliobarikiwa kuachiwa na the best mmachame duniani🥰 Mungu ni mwema mno🙏
Kama bado hujatazama mahojiano haya fuatilia chini hapa.