MUSIC VIDEO: @bundukimusic Ft @gnakowarawara – BellyDancer

Hii ni video ya ngoma mpya kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, @bundukimusic akiwa amemshirikisha rapper @gnakowakawaka ngoma inaitwa Belly Dancer.


Video ya ngoma hii imeomgozwa na @wanenestudios chini ya @director_ivantz . Bofya link kwenye Bio ya @bundukimusic kutazama full video.

Related Articles

Back to top button