Technology

Apple kukuwezesha kutuma sms ukitembea bila kuhofia ajali kwa teknolojia hii

Umewahi kujikuta ukituma ama ukisoma ujumbe wa simu huku ukitembea na ukajikuta ukijikwaa ama kugongana na mtu ama kitu mbele? Basi kampuni ya Apple inataka kuepusha hilo na kukusaidia kutuma sms ukiwa unatembea au ukiendesha gari bila wasiwasi.

woman-texting-driving-shutterstock-572x386

Kampuni hiyo itaongeza ‘patent’ kwenye simu zake itakayokuwa inaonesha live video kwenye background ya simu wakati mtumiaji akituma ujumbe. Patent hiyo itakuwa ikitumia kamera ya simu kuendelea kuchukua na kuonesha video ya vitu vilivyoko mbele kwenye background ya eneo kutumia meseji ili mtumiaji aendelee kuona mbele wakati akitumia simu yake.

Je teknolojia hii itafaa?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents