Burudani

#AskThicke kwenye Twitter yamtokea puani Robin Thicke

Wenye busara wanasema, usiulize maswali kama hutaki kujua jibu lake.

Robin-Thicke-2014-Photo

Robin Thicke na wafanyakazi wa VH1 wamepata somo kwa njia inayoumiza zaidi jana pale hashtag ya #AskThicke, ilipoanzishwa kwenye mtandao wa Twitter ili watu wamuulize maswali msanii huyo lakini mambo yakawa tofauti. Watuamiaji wa Twitter walimimina tweets za kuponda na kukejeli muziki wa Thicke na jinsi anavyowatendea wanawake, hasa mkewe.

“Do you think Tim Howard can save your marriage?” alitweet @PlaidAndDots, kumaanisha golikipa wa Marekani ambaye jana alivunja rekodi kwa kuokoa mipira mbili kwenye mechi ya kombe la dunia. “Y’all knew that #AskThicke was going 2 be a disaster. Twitter has no chill and once again PR people are getting celebrities clowned,” alitweet @LisaBolekaja.

Pamoja na mrejesho huo ambao hawakuutegemea, Thicke ajikiza kiume na kuendelea kujibu maswali machache.
“I’m a big boy. I can handle it,” alitweet.

Hizi ni baadhi ya tweets:

“On a scale of 1 – Robin Thicke, how creepy is your next single going to be?”
“Any general tips for women trying to avoid men like you?”
“They way #AskThicke has gone terribly wrong has restored my faith in humanity”
“How does it feel to know that you will be used as a case study to examine cultural examples of rape culture for years to come”
#AskThicke If you sang in a forest and nobody was there to hear it would you still sound like a creepy, rapey, pound-shop Justin Timberlake?”
“#AskThicke if i worked in mcdonalds and you asked for no gherkins would it be okay if i gave you them anyway? i know you want it really”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents