Mwamuziki Hassan kumbi kutoka katika kundi la Mkubwa na Wanawe Bendi, ametoa wimbo wake mpya ambao umekuwa kivutio kwa watu wengi wanaopata nafasi ya kuusikiliza. Mwanamuzki huyo ambaye pia ameshagonga kitu cha taarab na meneja wa kundi hilo Saidi Fella, wimbo wa Midomo imewashuka na Visonoko.
Wimbo wake mwenyewe unaitwa Vocha.. Unajua vocha imefanya nini.. Unajua kwanini ameuita Vocha.. hebu sikiliza akiwa na mdogo wa kundi hilo ambaye sasa anakomaa kimuziki Dogo Aslay
Aslay kwenye pozi…
Vocha-Hassan Kumbi Feat Aslay
{mmp3}Vocha-hassanikumbi.mp3{/mmp3}
Nyimbo nyingine ya kundi zima la Mkubwa na Wanawe
Na struggle -Mkubwa na Wanawe
{mmp3}mkubwana wanawe-nastrugo.mp3{/mmp3}