Habari

Aston Villa ya Samatta yabaki Premier league, Man United yashika nafasi ya 3

Hatimaye klabu ya Aston Villa inayochezewa na Mtanzania Mbwana Samatta imebaki ligi kuu England baada ya chupuchupu kushuka daraja.


Aston Villa imesalia Premier league ikiwa na pointi 34 sawa na Bournemouth na Watford zilizoshuka daraja tofauti yake na timu hizo mbili ni magoli ya kufunga na kufungwa.

Arsenal 3 – 2 Watford

Burnley 1 – 2 Brighton

Cheslea 2- 0 Wolves

Crystal Palace 1 –  1 Tottenham

Everton 1 – 3 Bournemouth

Leicester City 0 – 2 Manchester United

Manchester City 5 – 0 Norwich City

Newcastle 1 – 3 Liverpool

Southampton 3 – 1 Sheffield

West Ham 1 – 1 Aston Villa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents