Tragedy
Audio: Interview ya mwisho aliyofanya George Tyson Times FM
Tarehe 23 May, George Tyson alifanya interview na kipindi cha Sunrise cha Times FM kuhusiana na uzinduzi wa kipindi cha Boys Boys cha TV1 Mbalamwezi Beach. Msikilize hapa akiongea kwenye interview yake ya mwisho.
Wakati huo huo hizi ni picha za mwili wake wakati ukitolewa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro tayari kwa safari ya kuletwa Dar.