Burudani

Audio: Mariah Carey na French Montana waliamsha ‘Dude’

Baada ya kufanya vizuri kupitia albamu ya Jungle Rules, hatimaye rapper French Montana na malkia wa RnB Mariah Carey wanatarajia kuachia remix ya ‘Unforgettable’ ifikapo tarehe 25/8 mwaka huu.

Kwa mujibu nwa mtandao wa TMZ, umeeleza kuwa tayari mwanadada huyo amesha ingiza sauti katika ngoma hiyo siku ya Jana, ambapo Swae Lee naye atasikia.

“It’s not good enough for me since I been with you. It’s not gonna work for you. Nobody can equal me … I know,” moja ya mistari inayopatikana katika ngoma hiyo kutoka kwa Mariah.

‘Jungle Rules’ ilitoka mnamo mwezi Julai, huku ikiwa na nogma takribani 18, ambazo ni:

1. Whiskey Eyes feat. Chinx
2. Unforgettable feat. Swae Lee
3. Tripping
4. A Lie feat. The Weekend & Max B
5. Jump feat. Travis Scott
6. Hotel Bathroom
7. Bring Dem Things feat Pharrell
8. Bag feat. Ziico Niico
9. Migo Montana feat. Quavo
10. No Pressure feat. Future
11. Push Up
12. Stop It feat. T.I.
13. Black Out feat. Young Thug
14. She Workin feat. Marc E. Bassy
15. Formula feat. Alkaline
16. Famous
17. Too Much
18. White Dress

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents