Michezo

Bado point 3 tu Yanga kutwaa Ubingwa

Mabingwa wa kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club wamebakiza alama tatu pekee ili kutangaza Ubingwa wa NBC katika msimu huu wa 21/22.

Yanga inaongoza Ligi kwa alama 64 baada ya sare ya leo ya goli 1-1 dhidi ya Biashara United huku mshambuliaji wake Fiston Mayele akifikisha idadi ya mabao 14.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents