Habari

BARIADI: Mwanamke ajifungua mnyama aina ya Karunguyeye baada ya ujauzito wa miezi minne (+ Video)

Mwanamke mmoja huko Bariadi, Regina Frednand, amejifungua mnyama aina Karunguyeye. Tukio hilo limetokea Septemba 12 na kusababisha hofu na mshangao mkubwa kwa familia yake pamoja na wakazi wa maeneo hayo.Mwanamke huyo aitwae Regina Mataba (46) Mkazi wa Sima Wilayani Bariadi.

Baada ya kubeba ujauzito huo ilipofika Jumapili Septemba 12 Regina amedai alihisi uchungu na kwenda chooni ambako alijifungua mnyama huyo ambae awali alionekana kama panya buku ila alimwagiwa maji ya baraka na ikagundulika kuwa ni mnyama aina ya Kalunguyeye na alikufa baada ya siku mbili.

Bofya hapa chini kutaama.

 

https://www.instagram.com/p/CT5RA0KDQX_/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents