MUSIC AUDIO: Cydinho – SIMBA

 

Msanii wa muziki wa Singeli anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki Tanzania, @cydinho_official ameachia ngoma yake mpya inaitwa SIMBA.

Ngoma hiyo yenye vibe la kutosha inaisifia klabu ya Simba SC, Soo wewe kama ni shabiki wa Klabu hiyo hii ngoma inakuhusu kuisikiliza na kutoa maoni yako.

Bofya link kwenye Bio ya @cydinho_official kule instagram, Au bofya link hapa chini kuisikiliza.

 

Related Articles

Back to top button