Burudani

BBC waanzisha tuzo za muziki, BBC Music Awards

Shirika la habari la Uingereza la BBC, limeanzisha tuzo za kila mwaka za muziki, BBC Music Awards.

_75551028_75551027
Chris Evans na Fearne Cotton watakuwa hosts wa BBC Music Awards

Tuzo hizo zitafanyika December 11 jijini London. Jopo la watangazaji na watayarishaji wa BBC watakakaa kuangalia wasanii bora wa Uingereza na wa kimataifa huku watazamaji na wasikilizaji wakichagua wimbo wa mwaka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents