Burudani

Ben Pol amvaa Mnyama ‘TID amenikosea heshima’ (Video)

Unalikumbuka povu la msanii mkongwe wa muziki, TID juu ya Ben Pol baada ya muimbaji huyo wa R&B kutumia kiitiko cha wimbo ‘Nyota Yangu’ cha muimbaji huyo kwenye show yake ndani ya Tamasha la Fiesta? Sasa Ben Pol amejibu mapigo tena kwa kumtaka mkongwe huyo wa muziki kumtaka radhi kutokana na kauli yake.

Ben Pol ameiambia Bongo5 mambo mengi kupitia video hapo juu.

Jumatatu hii TID alikiambia kituo cha radio cha EA kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents