HabariLady Jay Dee

Besta, Ray C, Lady Jay Dee na K-Lynn mna tatizo au!

Bongo DivasUnapozungumzia wasanii wa kike hapa nchini, daima hawakamiliki kama hujawataja wasanii kama Besta, Lady Jay Dee, Ray C na K-Lynn ambao hawajawahi kusikika wamefanya kazi kwa ushirikiano kama ambavyo wanavyofanya wasanii wa mtoni au hata wasanii wa nchi jirani kama Kenya na Uganda.

Bongo Divas

 

Unapozungumzia wasanii wa kike hapa nchini, daima hawakamiliki kama hujawataja wasanii kama Besta, Lady Jay Dee, Ray C na K-Lynn ambao hawajawahi kusikika wamefanya kazi kwa ushirikiano kama ambavyo wanavyofanya wasanii wa mtoni au hata wasanii wa nchi jirani kama Kenya na Uganda.

 

Yaani haijawa kusikika kuwa msanii wa kike kumpa shavu msanii mwenzake wa kike kwani tatizo lenu nini? Hamuoni kama itapendeza sana iwapo mtaiga mfano kama wa wasanii wenzenu wa kiume ambao wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara na kutengeneza mikono ya hatari? Na mfano hai ni mkono wa ‘Mchizi wangu’ uliowashirikisha baadhi ya wasanii wakali katika miondoko ya Hip hop, huu ni mfano hai na unaostahiki kuigwa.
Acheni hizo dada zetu!?

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents