Burudani

Bifu la Blac Chyna na Rob Kardashian haliwezi kuisha kirahisi

Ukitoa masuala ya mtoto wao ila vita bado ni kali kati ya Blac Chyna na Rob Kardashian , hii ni kwa sababu ya kuvujishwa kwa picha za utupu za Blac miezi kadhaa katika mtandaoni na Rob.

 

Kwa mujibu wa mtu wa karibu ya Blac Chyna ameueleza mtandao wa TMZ, kuwa Chyna hawezi kumaliza bifu lake na Rob Kardashian kwa kitendo alichomfanyia cha kuvujisha picha za utupu za mrembo huyo. miezi kadhaa nyuma.

Chanzo hicho kimedai kuwa Chyna anaweza kumalizana na Rob katika masuala mengine kama mtoto ila kwa kitendo cha kumsema vibaya kuhusu kufanyiwa upasuaji aliofanya kamwe  kumuacha salama.

Pia akaongeza kuwa kikosi cha Chyna kikiongozwa na mwanasheria wake Lisa Bloom, wanakutana na timu ya Rob katika kujadiri mambo kadhaa ikiwemo suala hilo ila kwa upande wa malezi ya mtoto kijana  Rob anatoa dola 20k kila mwezi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents