Burudani

Tumshukuru sana Rais Magufuli, ni wazi tunasogea – Fid Q

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Fareed Kubanda aka Fid Q amefunguka kwa kuusifu utawala wa Rais John Pombe Magufuli kwa kitendo cha kuweka uwazi katika baadhi ya mambo ambayo hayakuzoeleka kuwekwa wazi.

Rapa huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo ‘Fresh’ aliomshirikisha Diamond, amewataka watanzania kujifunza mambo mbalimbili yanayoendelea na sio kubisha kila kitu.

“Hatua ndio mwanzo wa kila kitu, nimeshagundua sasa hivi kuna kama transparency fulani, tunawekewa wazi bhana kuna huyu alihusika na huku, hivi vitu tulikuwa hatuvisikii huko nyuma,” Fid Q aliimbia BBC. “Sasa watanzania huu muda tunatakiwa tujifunze kukubali huu uwazi ambao tumeletewa, hivyo ndio namna mtu anavyoendesha serikali yenye nia ya kuendelea yenyewe,”

Aliongeza,”Siku zote watu wamasema strong nation haitaji strong leaders, taifa lenye watu strong haliitaji kuwa kiongozi strong,kama taifa linapata watu strong na kiongozi anakuwa strong…, ni wazi tunasogea,”

Pia rapa huyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents