Habari

Bilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani

Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa.
alakija_1

Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana utajiri wa dola bilioni 2.5.

Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents