BREAKING NEWS: Maalim Seif afariki dunia, Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi athibitisha (+ Video)

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Ametangaza siku 7 za maombolezo.

Related Articles

Back to top button
Close