Habari

Bunge lahairishwa rasmi hadi Septemba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amehairisha vikao vya bunge leo Mjini Dodoma hadi tarehe 5, Septemba saa 3:00 asubuhi ambapo itakuwa siku ya Jumanne.

Waziri Majaliwa ameyazungumza hayo wakati akitoa hoja za Kuhairishwa kwa bunge Mjini humo.

“Naomba kuhairisha Bunge hadi tarehe 5 Steptemba saa 3: 00 asubuhi siku ya Jumanne. Naomba kuwasilisha hoja,” amesema Waziri Mkuu.

Bunge la bajeti lilikuwa takribani kwa miezi mitatu.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents