Bwana Misosi amkataa Mwijaku baada ya kuambiwa anajitafuta kama Diamond (Video)

Amesema hayo baada ya hivi karibuni, Mwijaku kudai muimbaji huyo ghali zaidi nchini Tanzania kutoka WCB, anajitafuta kama Bwana Misosi ambaye hivi karibuni ameanza kurudi kwenye game kwa kuachia ngoma mara kwa mara.

Misosi amesema Mwijaku anaishi kwa kutegemea kuwazungumzia watu hivyo aachwe kwa sababu ndio njia yake ya kujitafutia pesa ya kula.

Related Articles

Back to top button