Michezo
CAF waipa Simba SC masharti ya Covid-19 (+Video)
“Hii ni fursa ya kipekee ambayo tumeipata. Hakuna timu imeruhusiwa kwa idadi hii. Masharti ni mengi na lazima tuzingatie taratibu walizoweka.”- CEO Barbara.