Michezo

CAF yathibitisha ushiriki wa timu nne kutoka Tanzania klabu bingwa na shirikisho Afrika 2019/2020, Simba yaipeleka KMC Kimataifa nyingine hizi hapa

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limethibitisha kuwa Tanzania itatoa jumla ya timu nne katika mashindano ya Kimataifa kwa msimu wa mwaka 2018/19.

Image result for simba na yanga

Katika uwakilishi huo timu mbili zitaiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa Afrika na nyingine mbili kwenye kombe la shirikisho barani Afrika. Kwa mujibu wa kanuni za TFF timu hizo ni Simba SC na Young Africans klabu bingwa huku Azam FC na KMC kombe kombe la shirikisho barani Afrika.

https://www.instagram.com/p/BySf4I7BnLp/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents