Habari
CCM watoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Sozigwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa Salamu za pole na rambirambi kufuatia Kifo cha Mzee Paul Sozigwa aliyewahi kuwa mwandishi wa habari wa Hayati Baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere.
By Peter Akaro