Siasa
Chadema wahoji maswali mazito kwa Zima moto kuhusu soko la Kariakoo kuungua (+ Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2021/07/Screen-Shot-2021-07-13-at-17.29.15.png)
Akiongea na wanahabari Kaimu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Baraka Mwago ametanguliza salamu za pole kwa wahanga wa moto katika soko la Kariakoo na kuiomba Serikali kuwalipa fidia wahanga wa moto huo.
Baraka pia amehoji maswali mazito kuhsu tukio hilo na kuwauliza Zimamoto ilikuwaje wasiokoe mali hata moja pia waelezea maji ya zima moto yalikata vipi na je Jengo kama hilo la Kariakoo linakosaje Fire Extinguisher ?