Siasa

Chadema waiomba Serikali kuwalipa fidia wahanga wa moto soko la Kariakoo (+ Video)

Akiongea na wanahabari Kaimu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Baraka Mwago ametanguliza salamu za pole kwa wahanga wa moto katika soko la Kariakoo na kuiomba Serikali kuwalipa fidia wahanga wa moto huo.

Baraka pia amehoji maswali mazito kuhsu tukio hilo na kuwauliza Zimamoto ilikuwaje wasiokoe mali hata moja pia waelezea maji ya zima moto yalikata vipi na je Jengo kama hilo la Kariakoo linakosaje Fire Extinguisher ?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents