Bongo Movie

‘Chausiku’ ya Shamsa Ford yafikia rekodi ya mauzo ya filamu ya mwisho ya Kanumba ‘Love and Power’

Filamu ya Shamsa Ford, Chausiku imefanikiwa kufikia rekodi ya mauzo ya filamu iliyowekwa na filamu ya mwisho ya marehenu Steven Kanumba, ‘Love and Power’.

page

Afisa mauzo wa kampuni ya Steps Entertainment, Ignatius Kambarage, alisema filamu hiyo imeuza sana na bado inaendelea kuuza kutokana na mahitaji makubwa.

“Filamu ya Chausiku ndio imeweza kufika ile spidi ya filamu ya mwisho ya Kanumba ‘Love and Power’,” amesema Kambarage. “Tumeuza sana, kama steps tungekuwa tunatoa tuzo basi hii filamu ingepata tuzo. Unajua watanzania sasa hivi wamebadilika, wanatambua filamu hii nzuri hii mbaya, kwahiyo sasa hivi hawaangalii jina tena, ni story pamoja na wahusika walivyovyaa uhusika wao.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents